FEZA KESSY AENDEKEZA TABIA YA KUPIGWA DENDA NDANI YA JUMBA LA BIG BROTHER


Mshiriki  wa  Botswana, Oneal   ameendeleea  kuyafaidi  mate  ya  dada  yetu   ambapo  wakati  huu  jamaa  huyo aliamua kupiga magoti wakati akimwaga "sera za nguvu"  kwa Feza na kumwambia kuwa maisha yake yalikuwa shagala bagala kabla hajakutana na mwakilishi huyo wa Tanzania.


Maneno hayo matamu yalimwingia vyema Feza ambaye alikuwa akitabasamu muda wote kuashiria upendo mzito kwa jamaa huyo wa Botswana ambaye anataka wawe na maisha pamoja siku za usoni.


Washiriki wengine waliamka na kuwashangalia wapenzi hao kama yalivyo maisha ya kawaida. 

Muda  mfupi  baadaye, Feza  na  Oneal  walianza  kubadilishana  mate  na  ndimi...!!!!!!!

Posted by Bigie on 8:46 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.