VIDEO MPYA YA BOB JUNIOR "KIMBIJI" ALIYOWAHI TOA VIPANDE AKISULUBIWA KARIAKOO
habari za kitaifa 3:52 AM
Hii ni video mpya ya Bob Junior Sharobaro president inayokwenda kwa jina la Kimbiji.
Bob Junior aliwahi kutoa baadhi ya picha zikionyesha upigaji picha wa video hiyo, hatimaye video imetoka na baadhi ya maeneo yaliyotumika kushoot video hii ni Kariakoo sokoni na maeneo mengine.






