VIDEO: ORIGINAL COMEDI WAKIIGIZA KUHUSU WASANII WANAVYOTUMIWA KWENYE MADAWA YA KULEVYA
habari za kitaifa 11:01 PM
Kundi la Orijino Komedi limeguswa na baadhi ya wasanii wanaotumiwa na watu wazito kubebeshwa unga ndipo wasanii hao wakaona wafikishe ujumbe wa kuwaonya wasanii. Tazama hapa.






