"Nileteeni mama zenu nilale nao ili nithibitishe kama ninyi ni wanangu"...Baba kanumba


BABA wa aliyekuwa msanii maarufu wa filamu Bongo, Steven Kanumba, Charles Kanumba ametoa ofa kwa wanawake wanaohitaji kuzaa watoto kama marehemu mwanaye wamuone ili awape uzao wake.

Akipiga stori na mwandishi wetu, baba Kanumba alisema amefikia hatua hiyo kutokana na usumbufu anaoupata kwani tangu Kanumba alipofariki dunia wamejitokeza mabinti watano wakidai kuwa ni watoto wake wakati si kweli bali wanahitaji uzao wake.

“Nimechoka kila kona wanatoka vijana na kusema mimi ni baba yao tangu Kanumba alivyofariki dunia.Waleteni mama zenu nilale  nao  kwanza  na  kama kuna mwanamke anayehitaji uzao wangu, namkaribisha aje nimpe na watoto atakaowazaa watakuwa maarufu sana,” alijigamba baba Kanumba.

Posted by Bigie on 12:25 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.