Natafuta Mume wa NDOA....Nipo tayari kumpenda kwa dhati na SITAMSALITI.

 Mambo  vipi  mpekuzi...
Mimi ni  binti  mjasiliamali  ambaye  nimechoka  kuishi  peke  yangu  na  sasa nahitaji mwanaume  wa  ndoa  anayejiheshimu  na anayejua kupenda.Umri  wangu  ni  miaka 25, elimu  yangu  ni  form six.

 Asilimia kubwa ya wanaume ni wasumbufu  na  wana wanawake  wengi,kitu  ambacho  kwa  upande  wangu sikitaki  maana  najijua  nina  wivu....

Kwa  yeyote mwenye sifa hasa ya kuja kuwa mume mwema  ambaye  atanipenda  kwa  dhati  na  hatanisaliti  basi anijibu  kupitia  email  yangu. 

Kwa  upande  wangu  namhakikishia  kuwa  ntampenda  kwa  dhati, Sitamsaliti, ntamheshimu  na  ntawapenda  ndugu  na  jamaa  zake  wote  kwa  moyo  wangu  wote.

Mawasiliano: 
Email yangu  ni nancybast4@yahoo.com



Posted by Bigie on 6:27 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.