"Mbowe ni Mjinga na Mpuuzi"...Hii ni kauli ya Kigwangalla bungeni
Posted by Bigie
habari za kitaifa
9:43 AM
Mbunge wa Nzega Dr. Kigwangalla, ametumia muda wake karibu wote wa kuchangia Muswada wa Katiba kwa kumshambulia Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe. Mbowe kuwa ni Mjinga, Mpuuzi, ametia aibu aibu
Kigwangalla amempongeza Naibu Spika kwa kumtimua Mbowe bungeni na kusema kuwa kitendo hicho kimemshikisha adabu...
Aidha, mbunge huyo wa Nzega amedai kuwa Mbowe sio Mchaga bali ni mhuni fulani aliyejivika sura ya Uchaga kwa masilahi yake binafsi !.
Kigwangalla alihitimisha mchango wake kwa kudai kuwa wapinzani wana akili za shetani zisizovumilika!

Posted by Bigie
on 9:43 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the
RSS 2.0