Padri wa kanisa KATOLIKI amwagiwa tindikali huko Zanzibar
habari za kitaifa 10:39 AM
Padre Ancelmo Mwang'amba wa Kanisa Katoliki Parokia ya Cheju Zanzibar amemwagiwa tindikali katika mgahawa wa Sun Shine uliopo Mlandege, Zanziabar na kusababishiwa maumivu makali sana.
Habari zaidi zitawajia baadaye.





