Pikipiki aina ya JINYEE yasababisha kichapo kikali kwa mfanyabiashara

 
Na Jumanne  Nzagamba, Chunya.
Nipo  kijijini  Kanga, wilaya  ya  Chunya  ambapo  kwa  macho  yangu  nimemshuhudia  mfanyabiashara  mmoja  akipewa kichapo  kikali  na  vijana  watatu  wa  kisukuma  ambao  alikuwa  akifanya  nao  biashara ya  pikipiki...

Kichapo  hicho  kilianza  baada  ya  baba  mwenye  nyumba  kumuomba  mtoto  wake  wa  darasa  la  sita  amsomee  maneno  yaliyoandikwa  katika  pikipiki  hiyo...
 Bila  kusita, mtoto  aliyatamka  maneno  hayo  kama  yalivyoandikwa  "JINYEE"..Baada  ya  kusomewa  maneno  hayo, Dingi  wa  kisukuma  aligeuka  mbogo  na  kuwataka  vijana  wake  wamtimue  mfanyabiashara  huyo.

Posted by Bigie on 5:56 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.