Huddah Monroe Azindua Vazi lake jipya Akiwa Uchi wa Mnyama!


Msanii  maarufu  wa  Kenya, Huddah  Monroe  amezindua  vazi  lake  jipya  kwa  staili  ya  kipekee  na  ya  aina  yake.....
 
Katika  uzinduzi  huo, mrembo  huyo  ameamua  kujianika  hadharani  akiwa  uchi  wa  mnyama, juu  akiwa  amevaa  vazi  lake  jipya  alilolizindua.( Tazama  picha  hapo  chini)

Picha  hiyo  ilisindikizwa  na  ujumbe usemao: "Everyday above ground is a blessing . What Jah bless , No man curse! ✌️"

Baadaye  akaweka picha  nyingine  yenye  ujumbe  TATA  Usemao:
"No fat Zone! Take ya lame ass to the gym and let the ones who got bodies to show off - Show it off! 😆😆. As long as my VAGINA is not showing , you are the one who is naked! 😋"
 
Hizi  ni  picha  zingine  za  mrembo  huyu  akiwa  ndani  ya  vazi  hilo 
 

Posted by Bigie on 4:59 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.