SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA,DR. JAKAYA KIKWETE KWA WATANZANIA

SALAM ZA MWAKA MPYA ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MHESHIMIWA DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE KWA WATANZANIA,TAREHE 31 DESEMBA, 2011Ndugu Wananchi; Leo tunauaga mwaka 2011 na kuukaribisha...

RAIS WA TANNZANIA AMUAPISHA BALOZI SEFUE KUWA KATIBU MKUU KIONGOZI IKULU-DAR ES SALAAM

Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Phillemon Luhanjo (kushoto) akimkabidhi nyaraka za serikali maalum kwa kuapishiwa na Biblia, Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Ombeni Yohana Sefue, ili kuanza kuapishwa rasmi...

WAZIRI MKUU AWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam ambao wameweka kambi katika shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa Vijana wakipika ugali...

AISHA MADINDA ACHOSHWA NA TABIA YA KUPORWA WACHUMBA

MWANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo ‘Wazee wa Kizigo,’ Aisha Mohammed Mbegu ‘Aisha Madinda’ amefunguka kuwa kati ya vitu ambavyo vimekuwa vikimkosesha raha katika maisha yake ni kuporwa...

WEMA SEPETU AANGUA KILIO KISA DIAMOND KAONEKANA NA JOKATE....

STAA WA KIKE wa filamu Bongo asiyekaukiwa na habari, Wema Sepetu juzikati alijikuta akiangua kilio hadharani na kuwaacha watu midomo wazi. Tukio hilo la kushangaza lilijiri wikiendi iliyopita,...

Breaking news

.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.