WAZIRI MKUU AWATEMBELEA WAATHIRIKA WA MAFURIKO JIJINI DAR ES SALAAM
JAMII 11:46 PM
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na baadhi ya waathirika wa mafuriko yaliyotokea Dar es salaam ambao wameweka kambi katika shule ya sekondari ya Benjamin Mkapa
Vijana wakipika ugali kwa ajili ya waathirika wa mafuriko ya Dar es salaam walioweka kambi kwenye shule ya sekondari ya Benjamin jijini Dar es salaam wakati Waziri Mkuu, Mizengo Pinda alipowatembelea jana