DR. KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UTURUKI NA KUFANYA MAZUNGUMGUMZO MAFUPI NA MWAKILISHI WA BENKI YA MAENDELEO AFRIKA
JAMII 9:09 PM
Rais Kikwete akiwa katika mazungumzo na Balozi wa Uturuki aliyemaliza kufanya kazi nchini Dr. Sander Gurbuz aliyekwenda kumuaga jana Jumanne Desemba 13, 2011 Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais Kikwete akiwa na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Bi. Tonia Kandiero aliyemtembelea jana Jumanne Desemba 13, 2011 na kufanya mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam.