DR.KIKWETE AKIWA NA ASHA ROSE MIGIRO NA BAROZI MULAMULA WA KAMPALA


Rais Dkt. Jakaya Kikwete akimpongenza Balozi Liberata Mulamula kwa kazi nzuri aliyoifanya katika sekreterieti ya Maziwa Makuu kwa miaka mitano. Pembeni ni Dr Asha-Rose Migiro Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa walipokuwa katika hoteli ya Speke Commonwealth Resort kitongoji cha Munyonyo nje kidogo ya Kampala kunakofanyika mkutano wa wakuu wa nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) ambapo Balozi Mulamula ndio amemaliza rasmi muda wake wa kufanya kazi kama Katibu Mtendaji wa ICGLR na kumuachia kiti Prof Lumu Alphonse Ntumba Luaba (59) wa DRC.
Rais jakaya Kikwete (kulia,mbele) akiwa na viongozi wenzie wa Nchi za Maziwa Makuu (ICGLR) kwenye picha ya Pamoja baada ya ufunguzi wa mkutano huo leo.

Posted by Bigie on 12:32 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.