KIKWETE ATEMBELEA MAONESHO YA MIAKA 50 YA UHURU JIJINI DAR ES SALAAM
JAMII 5:59 PM
Rais Jakaya Kikwete akipokea zawadi ya mfuko wa kubebea makabrasha toka kwa afisa kwenye banda la ofisi ya Rais wakati alipotembelea maonesho ya miaka 50 ya Uhuru jana jumapili kwenye viwanja vya maonesho vya Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa Road jijjini Dar

Rais Kikwete akipata maelezo juu ya bustani ya wanyama pori iliyopo Ikulu

Rais Kikwete akisikiliza maelezo juu ya jengo la Ikulu

Rais Kikwete akiangalia waraka rasmi wa kutoka kwa Malkia Elizabeth II wa Uingereza wa kutoa Uhuru kamili kwa Tanganyika miaka 50 iliyopita

Rais Kikwete akiangalia picha ta Baraza la Kwanza la Mawaziri bandani hapo

Rais Kikwete akiangalia mapicha ya kumbukumbu

Rais Kikwete akisalimiana na mmoja wa wafanyakazi wa TASAF

Wadau katika banda la Ofisi ya Rais wakimsubiri mgeni.
