MAANDALIZI YA VIDEO MPYA YA DIAMOND IITWAYO "MAWAZO"


Huu ni utengenezaji wa video mpya inayokuja ya msanii wa bongo fleva Diamond Plantinum wimbo unaojulikana kwa jina la Mawazo. Location hizi unazoziona kwenye picha ni maeneo ya Mbezi Beach huku akiwa anauza sura na gari aina ya Mercedes Benz SL500. Video imefanywa na Visual Lab Dir akiwa ni Adam Juma.







Posted by Bigie on 7:43 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.