MAZISHI YA MR.EBBO (MATUKIO KATIKA PICHA)
JAMII 9:44 PM
Mwili wa marehemu, Mr Ebbo ukiwa katika jeneza tayari kwa kwenda kuzikwa katika nyumba yake ya milele.
Mke wa marehemu akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuuaga mwili wa mumewe.
Wazazi wa marehemu kutoka kulia ni baba yake na mama yake.
Mke wa marehemu akiwa ameshikiliwa mara baada ya kuuaga mwili wa mumewe.
Wazazi wa marehemu kutoka kulia ni baba yake na mama yake.
Baadhi ya ndugu na majirani wakiuaga mwili wa marehemu, Arusha siku ya jana .