SHINDANO LA UREMBO LA "MPO AFRIKA" LITAFANYIKA SIKU YA KRISMASS
JAMII 5:42 PM
Warembo watakaoshiriki shindano hilo wakiwa katika picha ya pamoja.
Mshiriki Aisha Kuandika akionyesha umahiri wake wa kucheza muziki.
Mkurugenzi wa ukumbi huo ajulikanaye kwa jina la Mponjoli (katikati) akiwa na waandaji wa shindano ambao ni Sweetness Julius (kushoto) na mwalimu wa warembo husika.
Aisha Kuandika akiwa na simu aliyopewa kama zawadi na shabiki mmoja kutokana na kuonyesha ustadi mkubwa wa kunengua. Kulia ni mshereheshaji katika ukumbi huo.
KAMPUNI ya Switie Star ya jijini Dar es Salaam ambayo inajihusisha na masuala ya burudeani, imeandaa shindano la urembo la Miss Mpo Afrika ambalo linatarajiwa kufanyika siku ya mkesha wa Krismas katika ukumbi wa Mpo Afrka uliopo Davis Corner, Tandika, jijini Dar es Salaam.
Katika kujiandaa na shindano hilo, warembo takribani 10 wanajifua vilivyo katika ukumbi wa baa ya Mpo Afrika ili kujiandaa na shindano hilo la aina yake.
Katika kujiandaa na shindano hilo, warembo takribani 10 wanajifua vilivyo katika ukumbi wa baa ya Mpo Afrika ili kujiandaa na shindano hilo la aina yake.



