STEPS ENTERTAINMENT YAFUNGA MWAKA KWA KUWATUNUKU VYETI WASANII WA BONGO MOVIE
JAMII 7:14 PM
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Mohamed Nice 'Mtunis' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzi wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Jimmy Mponda kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzi wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Sebastian Mwanangulo ' Inspekta Seba' cha kutambua kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzi wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii, Stevin Jacob 'Jb'' kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzi wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki
Baadhi ya nyota wa filamu katika hafla hiyo
Inspekta Seba (kulia) na Jimmy Mponda wakisalimiana
Mdau wa filamu na ndondi Rajabu Mhamila akiteta na Inspekta Seba na Jimmy |
Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndungulile (kushoto) akimkabidhi cheti Msanii Ritchie Mtambalike kwa kutambua mchango wa kazi zake kilichotolewa na Kampuni ya usambazaji ya Steps Entertainment Dar es salaam juzi wakati wa sherehe za kuaga mwaka 2011 na kuukaribisha mwaka 2012 kwa wasanii wote nchini kushoto ni Mkurugenzi wa Kampuni hiyo. Dilesh Solanki na Rajiv Solanki