MAJONZI:.."MBUNGE WA CCM JEREMIA SUMARI WA JIMBO LA ARUMERU AFARIKI DUNIA "


TAARIFA ya huzuni iliyotua hivi punde katika mtandao huu inadai kuwa mbunge wa jimbo la ARUMERU kupitia Chama cha mapinduzi (CCM) JEREMIA SUMARI amefariki DUNIA Leo.

Mbunge huyo alikuwa amelazwa wodi la Moi katika Hospital ya Taifa Mhimbili kijiji Dar es Salaam hivyo Leo asubuhi Mungu kaamua kuichukua roho yake .

JEREMIA SUMARI ni mbunge wa pili kwa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania kufariki kwa mwaka huu 2012 baada ya kutanguliwa na mbunge wa vita maalum Chadema mkoa wa Morogoro Regia Mtema aliyezikwa nyumbani kwake Ifakara Morogoro mazishi yaliyoongozwa na RAIS Jakaya KIKWETE

Mungu azilaze roho za marehemu waheshimiwa wetu mahali pema peponi>> Amina
 

Posted by Bigie on 10:22 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.