HIZI NDIO AJIRA MPYA ZA WALIMU KATIKA NGAZI MBALI MBALI AMBAZO ZILITANGAZWA RASIMI JANA
JAMII 11:13 PM
Tunatambua kuwa Wanavyuo walimu walikuwa hawana kazi kwa muda mrefu Jambo ambalo liliwafanya wengi kuwa na wasi wasi na mwajiri wao.
Tunapenda kuwapa tarifa kuwa, Walimu wahitimu wote Jana usiku majira ya saa saba Nafasi hizo zilitangazwa Rasmi, Pia sisi Tunapenda kuwasilisha majina ya wanafunzi ambao wamechaguliwa .
Tunaomba mchukue Muda wenu kutazama kwa umakini majina yenu yote yapo hapa.
IMETOLEWA NA:
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI