RAIS WA TANZANIA,DR.KIKWETE AOMBOLEZA VIFO VYA BALOZI ATHUMANI MHINA NA AZIZI SHEWEEN

  Marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki  huko Riyadh, Saudi Arabia.
  Rais jakaya kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo ya kifo cha Aziz Sheween, Mikocheni jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Afisa huyo wa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, kilichotokea huko Riyadh, Saudi Arabia.
  Rais Kikwete akiwa na familia na waombolezaji nyumbani kwa  marehemu Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefariki huko Riyadh, Saudi Arabia.
  Rais Kikwete akiagana na familia ya marehemu ya Aziz Sheween, Afisa Mambo ya Nje Mkuu Daraja la I katika Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia, aliyefairiki  juzi huko Riyadh, Saudi Arabia.
 Rais Kikwete akiweka sahihi kwenye kitabu cha maombolezo alipofika Madale jijini Dar es salaam, Jumatatu jioni nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
 Rais Kikwete akipata maelezo alipofika nyumbani kwa 
Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi 
Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia
jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo

 kutibiwa shinikizo la damu.
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa
Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki 
 dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa
katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
 Waombolezaji wakiwa Madale, nyumbani kwa hayati Balozi Mhina
 Makada wa CCM wakiwa msibani kwa marehemu Balozi Mhina
 Rais Kikwete akiagana na waombolezaji  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi 
Athumani Mhina aliyefariki  dunia usiku wa kuamkia jana 
kuamkia 
jana alipokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo 
kutibiwa shinikizo la damu.
 Rais Kikwete akiwa msibani  nyumbani kwa Mwenyekiti wa  Taifa
wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Balozi Athumani Mhina aliyefariki 
 dunia usiku wa kuamkia jana kuamkia jana alipokuwa akipelekwa
katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.
Mwenyekiti wa Taifa wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, 
Balozi Athumani Mhina enzi za uhai wake. 

Katibu Mkuu wa Jumuia hiyo, Khamis Dadi alisema Balozi Mhina alifariki usiku wa kuamkia jana aliokuwa akipelekwa katika Hospitali ya Jeshi Lugalo kutibiwa shinikizo la damu.



Dadi alisema Mhina alikuwa akipelekwa hospitali baada ya hali yake kubadilika ghafla kutokana na maradhi ya shinikizo la damu.Alisema mwili wa marehemu, ambaye pia alikuwa Mjumbe wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya CCM, umehifadhiwa katika Hospitali ya Jeshi ya Lugalo na kwamba mazishi yake yanatarajiwa kufanyika kesho.

Dadi alisema marehemu atazikwa kijijini kwao Mnyuzi wilaya ya Korogwe mkoani Tanga na kwamba mwili wake utasafirishwa leo kwenda kijijini huko.Alisema kabla ya kusafirishwa, wakazi wa Dar es Salaam watapata fursa ya kutoa heshima za mwisho nyumbani kwake Madale, Tegeta wilayani Kinondoni.

Posted by Bigie on 10:01 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.