RIHANNA AKUTWA AKIVUTA BANGI....
JAMII 7:50 PM
Picha hizi zilizodakwa mtandaoni zinamuonesha RIHANNA akivuta kile kinachosadikiwa kuwa ni BANGI katika ufukwe wa HAWAIIAN.
Chanzo kimoja cha habari kililiambia shirika la NATIONAL ENQUIRER kuwa "Hivi sasa Rihanaa yupo katika ukingo wa mwisho wa anga za mziki........Amekuwa na matukio ya ajabu kwa takribani mwaka sasa na hivi sasa yupo katika hat hati ya kuanguka kabisa kimziki."