DR. KIKWETE AONGOZA MAMIA KATIKA MAZISHI YA REGIA MTEMA MJINI IFAKARA JANA (PICHA ZA TUKIO ZIMA LA MAZISHI)
JAMII 7:19 PM
Rais Jakaya Kikwete akijiandaa kuweka shada la Maua kaburini wakati wa mazishi ya Marehemu Regia Mtema aliyoongoza mjini Ifakara mkoani Morogoro jana. |

Rais Jakaya Kikwete akiweka shada la maua kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema ambaye alikuwa Mbunge wa Viti Maalum (CHADEMA) Jimbo la Morogoro aliefariki kwa ajali ya gari maeneo ya Ruvu mkoani Pwani hivi karibuni .Rais Kikwete ameongoza mamia ya Waombolezaji wa mji wa Ifakara kwenye mazishi hayo leo ambapo pia viongozi mbali mbali walishiriki.

Rais Jakaya Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la Marehemu Regia Mtema aliezikwa leo Ifakara Mkoani Morogoro.





Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Marehemu Regia Mtema mjini Ifakara

Baadhi ya wabunge toka vyama mbalimbali wakiwa mazishini

Vijana wa ulinzi wa CHADEMA wakithibiti umati wa waombolezaji

Umati wa waombolezaji makaburini

Mwili wa marehemu ukiwasili makaburini

Vilio na majonzi

Pacha wa marehemu akibembelezwa

Kwaya ikiimba mapambio

Wabunge wa vyama mbalimbali wakisubiri mwili uwasili kwa mazishi

Vijana wa ulinzi

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiwasili

Jeneza lenye mwili wa marehemu likishushwa makaburini

Rais Kikwete akiongea na Spika Anne Makinda. Pembeni yao ni Naibu Spika Job Ndugai na Mh Hawa Ghasia

Mdogo wa marehemu

Wanahabari wakirekodi tukio hilo

Salamu za Shukrani toka kwa msemaji wa familia

Ibada ya mazishi ikiendelea

Spika Anne Makinda akiweka udongo kaburini

Naibu Spika akiweka udongo kaburini

Mwenyekiti wa CHADEMA Mh Freeman Mbowe akiweka udongo kaburini

Sehemu ya waombolezaji

Karibu Mkuu wa CHADEMA Dkt Wilbroad Slaa akijiandaa kuweka shada ya maua kaburini