HAYA NDO MASWALI MATATU NILIYO MUULIZA LINAH

 
1.Ni kitu gani unafanya ukiwa peke yako chumbani?
Huwa najiangalia sana kwenye kioo ni "ugonjwa" wangu.
2.How many panties do you have?
Nyingi sana kwani si unajua mimi mwanamke, nataka nitafute kabati lake kabisa. 
3.Wakati gani huwa unasema uongo zaidi?
Nikiwa na show nyingi kwa wakati mmoja na zote nataka niwahi.

Posted by Bigie on 10:32 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.