JAMBO LEO LATIMIZA MIAKA MITATU

Wafanyakazi wa Kampuni ya Jambo Concepts Tanzania Limited, inayochapisha gazeti la Jambo Leo, wakiwa na na nakala ya kwanza ya gazeti hilo iliyotolewa Juni 4, 2009, kwa kichwa cha habari cha "CCM waumizana urais 2015" ambacho mpaka sasa kinatawala kwenye vyombo vya habari nchini. Picha hii ilipigwa jana kwenye chumba cha habari cha gazeti hilo jijini Dar es Salaam. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Posted by Bigie on 9:03 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.