Taswira Mbalimbali Za Sebastian Ndege na Justice Ndege Walivyopeleka Moto Wa Skylight Parties Mafian Lounge

   Msanii wa Machozi Bendi, Sam Machozi akitoa burudani pamoja na Bendi ya SkyLight.
   Kutoka Kulia ni Kiongozi wa Bendi ya SkyLight, Aneth Kushaba, Mgeni aliyealikwa Sam Machozi pamoja na Mwanadada.
   Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha CCM, Vicky Kamata (mbele mwenye gauni nyekundu) akilishakata rumba na rafiki yake..
   Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Dk Didas Masaburi (kati) akiwa na mkurugenzi wa Ndege Insurance Bw. Sebastian Ndege(Kushoto) wakijiachia na SkyLight Bendi
 Justice Ndege(Wa Pili kushoto)akiwa na Wadau
Wadau Mbalimbali

Posted by Bigie on 9:00 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.