JISHINDIE HYUNDAI IX35 TOKA ECOBANK
habari za kitaifa 11:31 AM
Linley Kapya katikati akionesha gari aina ya Hyundai ix35 ambalo litashindaniwa katika promosheni hiyo
Mkurugunenzi maendeleo Ecobank katikati, Samwel Ayim akiongea na waandishi wa habari leo makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es salaam wakati wa uzinduzi wa promosheni ya shinda Babkubwa na Ecobank-Hyundai ix35. Kushoto ni mkuu wa kitengo cha Huduma kwa wateja, Joyce Mlai, na kulia Head corporate, Linley Kapya. Chanzo: Full Shangwe
