Lukuvi Ataka Ofisi Ya Waziri Mkuu Iwe Mfano


Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mh. William Lukuvi (Mb) akisoma hotuba yake iliyo sisitiza Ofisi ya Waziri Mkuu kuwa mfano katika kupunguza matumizi ya Serikali, wakati alipofungua kikao cha Baraza la Wafanyakaazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika Ukumbi wa Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam leo


Waziri wa Nchi Ofisi Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), Mh. William Lukuvi (Mb),(wa nne kutoka kushoto ) akiwa na Viongozi pamoja na wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi wa Ofisi ya Waziri Mkuu muda mfupi baada ya kufungua kikao cha baraza hilo katika Ukumbi wa Ofisi hiyo jijini Dar es Salaam leo, (wa nne kulia) ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Peniel Lyimo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Posted by Bigie on 7:59 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.