MAMLAKA YA HIFADHI YA NGORONGORO YATANGAZA HUDUMA MPYA YA UKUSANYAJI WA MADUHUHULI YA SERIKALI
habari za kitaifa 8:07 AM
Kaimu Muhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro Bwana Shaddy Kyambie akitambulisha kwa wahandishi wa Habari (hawapo pichani) huduma mpya ya ukusanyaji wa maduhuli ya Serikali katika hifadhi ya Ngorongoro kwa njia ya mtandao ijulikanayo kama Smart Card kushoto ni Afisa Habari Mkuu Bwana Mwirabi Sise na kulia kwake ni Meneja Uhusiano wa Mamlaka hiyo Bwana Adam Akyoo.(Picha na Benjamin Sawe).