PINDA AKIWALUANDA

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe (kulia)  wakizungumza na Rais wa Zambia, Michael Santa katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi  Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC uliofanyika Juni 1, 2012, Luanda Angola. Mheshimiwa Pinda alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete katika Mkutano huo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifurahia katika mazungumzo kati yake na Waziri Mkuu wa Kwanza wa Namibia, Hage Geigob wakati walipokutana  katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC, Luanda , Angola Juni 1, 2012. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Posted by Bigie on 10:45 PM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.