MWENGE WA HURUMKOANI RUVUMA
habari za kitaifa 10:52 PM
Raia wa Marekani aliyefahamika kwa jina moja la Penzia akiwa ameshika Mwenge wa Uhuru wakati uliposimama katika kijiji cha Hanga kutoa ujumbe kwa wananchi kuhusu umuhimu wa wananchi kujiandaa kuhesabiwa ifikiapo Agosti 26,2012.
Na Revocatus A.Kassimba
Afisa Habari
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa
Ruvuma