ROUND TABLE DISCUSSION FOR US NGOs

Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akiongea jambo kwenye mjadala wa NGOs round table uliofanyika Alhamisi May 31, 2012, Washington, DC.
Mhe. kaimu Balozi Lilian Munanka akisisitiza jambo, Mhe. Munanka ndie aliyeongoza mjadala wa NGOs Round Table uliofanyikia Washington, DC
Bw. Ikomba E. Mathew ambae ni Afisa wa Uhamiaji upande vibali vya kufanyia kazi akielezea utaratibu unaotakiwa kufuata unapokua unaomba kibali cha kufanyia kazi Nchini Tanzania.
Kelly Daly Afisa wa Peace Corps akielezea jambo katika muendelezo wa mjadala wa NGOs round table uliofanyika Alhamisi May 31, 2012, Jijini Washington, DC.
Afisa Ubalozi Suleiman Saleh akielezea taratibu za chanjo unapokua unasafari ya kwenda Tanzania.
Trina Gunn ambae ni Officer for Tanzania U.S. Agency For International Deleopment (USAD) ambae ameishafanya kazi Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania akielezea utaratibu wa nini cha kufanya kwa Wamarekani waotembelea Tanzania.
 
Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar akimsikiliza mmoja ya mwanaNGOs aliyekua anataka ufafanuzi wa jambo fulani, kati ni Afisa Ubalozi Dr. Mkama.
WanaNGOs wakifuatilia mjadala.
Hadija Riyami kutoka VOA akiandika jambo wakati akiwa kwenye mjadala wa NGOs round table uliofanyika Alhamisi May 31, 2012 Jijini Washington, DC.
Juu na chini ni WanaNGOs wakiongozwa na Mhe. Balozi Mwanaidi Maajar wakifuatilia jambo.

Posted by Bigie on 8:02 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.