TUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA KATIKA BARAZA LA WAFANYAKAZI DAR ES SALAAM

Katibu Mtendaji wa Tume ya Kurekebisha Sheria Tanzania Agnes Mgeyekwa akizungumza katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa Tume.
Katibu Msaidizi wa Tume (Mapitio) Angela Bahati akizungumza katika Baraza hilo, kushoto ni Mkurugenzi wa Utawala wa Tume Bw. Noah Mwaikuka.
Wafanyakazi wa Tume wakiwa katika kikao cha Baraza la Wafanyakazi.
Katibu Msaidizi wa Tume (Utafiti) Adam Mambi akichangia katika mkutano wa Baraza la Wafanyakazi wa TUMESHERIA Dar es Salaam.Picha na Munir Shemweta.

Posted by Bigie on 9:09 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.