"SIKUMBUKI IDADI YA WANAUME NILIOFANYA NAO."......AUNT LULU



MWANADADA asiyeishiwa na matukio Bongo, Lulu Semagongo ‘Anti Lulu’ ametoa kali ya mwaka na kusema kuwa hajui idadi ya wanaume alioshiriki nao kimapenzi kwa kuwa ni wengi.

Anti Lulu amesema amefanya hivyo kwa kushirikiana na wanaume mastaa na wasio mastaa hali ambayo huwa inasababisha asikumbuke idadi yao.


“Kwa kweli sikumbuki, ila ambaye nilidumu naye muda mrefu kiasi ni Bondi ambaye ndiye alinivalisha pete, lakini niliivua baada ya kunipiga na kunipasua usoni,” alisema Lulu ambaye alipata umaarufu kupitia shindano la kucheza la Kimwana Manywele 2006 kabla ya kuhamia kwenye uigizaji filamu.

Posted by Bigie on 12:41 AM. Filed under , , , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.