AIBU: BAADA YA WEMA SEPETU KUYAANIKA "MATAKO" YAKE HADHARANI TENA, OMOTOLA WA NIGERIA AKATAA KUCHEZA NAYE FILAMU MOJA

MAKALIO  YA  WEMA  SEPETU YAKIWA NJE  TENA

MSANII wa filamu bongo asiyeishiwa vituko Wema Sepetu, baada ya kutangaza kuwa anatarajia kwenda nchini Nigeria kwa ajili ya kucheza filamu moja na rafiki yake aliyewahi kumleta nchini Omotola, sasa hana tena dili la kushiriki filamu moja na mwanadada huyo kwa kile kinachodaiwa kuwa na tabia ya kujiskia sana.

Chanzo cha kuaminika kilichozungumza na mtandao huu kwa sharti la kutotajwa jina, kilidai kuwa msanii huyo anashindwa kuwaeleza ukweli watanzania kuwa hawezi tena kukutana na msanii huyo, kwani anaona aibu kutokana mambo makubwa aliyoyafanya wakati alipomleta msanii huyo.

Kila anavyoangalia umati Wazimu unampanda.Hatimaye akaanza vituko vyake.




Hapa  ndipo  Wema Sepetu alipoanika  makalio yake  tena

Chanzo hicho kiliendelea kusema kuwa Wema alikuwa na urafiki wa karibu sana na msanii huyo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda ukaribu wao unapungua na kuna uwezekano mkubwa Omotola akawa amebandilisha namba ya simu na hata email kwani haoni mazungumzo ya mara kwa mara kama ilivyokuwa awali.

“Kuna wakati alitangaza kuwa anataka kwenda kucheza filamu moja na msanii huyo lakini hizo habari sasa zimekufa na hakuna kinachoendelea kwani hawana mawasiliano yoyote na kitu kikubwa kilichotokea ni kwamba Omotola alimsoma Wema tabia yake na alihisi ni mtu wa kujisikia sana,” akilidai chanzo hicho.

Hata hivyo chanzo hicho kiliongeza kuwa kitendo kingine kilichomkatisha tamaa msanii huyo ni kutokana na skendo mbalimbali za Wema ambazo amekuwa akisoma kwenye mitandao kitu ambacho anaona wazi ni kwamba kinaweza kusababisha filamu ikauza upande mmoja wakati yeye anafanya kazi za kimataifa.

“Omotola alipokuja siyo kwamba alimpa uhakika wa moja kwa moja kuwa atamtumia kwenye filamu yake hapana, kitu ambacho alikifanya ni kuchukua baadhi ya filamu ambazo Wema amecheza na kuondoka nazo na alidai atakapolizika atamjulisha lakini hadi sasa kimya,” aliongeza.

Mpekuzi haikusita kumtafuta Wema na alipopigiwa simu namba yake hakuweza kupatikana huku rafiki yake huyo akidai kuwa mara nyingi huwa hawashi simu na ana namba zaidi ya tatu ambapo hata yeye mwenyewe wakati mwingine huwa hampati hewani.

Posted by Bigie on 5:01 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.