DIAMOND PLATNUMZ AJIPANGA KUTOKA NA “NATAKA KULEWA”



Msanii Diamond Platnumz ambaye kwasasa unaweza kusema ndio msanii anayelipwa mkwanja mkubwa kupitia show zake anazofanya ndani ya Bongo.

Latest infoz ni kuwa round hii anatarajia kutoka na ngoma mpya baada ya kutamba na ngoma zake kama “Moyo Wangu“, “Mawazo” na “Nimpende Nani” kutoka kwenye album yake ya pili kwa jina la Lala  Salama.

Jana  kupitia Facebook Fan Page yake, Diamond aliweza kupost ujumbe usemao, “NEWLY RELEASED TRACK: NATAKA KULEWA (NIACHE) DIAMOND PLATNUMZ” ikiwa inaonyesha ni ujio wa ngoma yake mpya. Hivyo mashabiki mkae mkao wa kula kupokea Hit nyingine kutoka kwa Rais wa Wasafi.

Posted by Bigie on 8:41 PM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.