"NGONO" IKIJUMULISHWA NA "MASOMO" JIBU NI " MIMBA, NGOMA AU KUFELI"
habari za kitaifa, picha za utupu 10:53 PM
Dunia imebadilika sana.Umewahi kujiuliza ni kwa nini mtoto wa form two hawezi kukusalimia SHIKAMOO?? na badala yake atakwambia "MAMBO..!!!"????.......
Akupe shikamo ya nini na wakati na yeye anajiona mkubwa ? Maana yangu ni kuwa hakuna asilolijua. Kama ni KISS anaijua, kama ni MAPENZI anajua.hahahahhahah...!!!
Hii ni hatari jamani.Watu kama hawa itakuwaje wakifika CHUO KIKUU? ....Ni zaidi ya "used"
Mtu unakuwa USED kiasi kwamba unakuwa huna mvuo tena.Na ndo maana siku hizi watu wanazeeka bila kuona au kuolewa.
TAFAKARI:
Wewe ni mwanaume wa miaka 29 na siku moja umebahatika kukutana na binti mrembo wa miaka 19 tu. Wakati wa tendo unajikuta UMEPWAYA kabisa .....Mtoto wa kiume hoi.Jasho kila mahali.hahahhaha....KUNA HAJA YA KUTANGAZA NDOA HAPO?.......
Tubadilike jamani.Andaeni kwanza future zenu.Mapenzi yapo tu.Uliyakuta na utayaacha ...

