HII NDO MIXTAPE YA RICK ROSS YENYE NYIMBO 18....DOWNLOAD BURE



Rozay ambaye jumamosi aliweza kukisanua jijini Dar Es Salaam kwenye Concert ya Fiesta iliyofanyika Leaders Club ameachia his official mixtape iitwayo The Black Bar Mitzvah huku akiwa amefanya collabo na wasanii kama Drake, Gunplay, Lil Reese, 2 Chainz, Pharrell, Diddy na wengine wengi toka pande za area code 1.

Downloud hapa chini:

 Hizi ndizo Track List za The Black Bar Mitzvah Mixtape:
  • 01 Intro
  • 02 Don’t Like
  • 03 Mercy [ft. Rockie Fresh]
  • 04 Us [ft. Drake and Lil Reese]
  • 05 Rosenberg Skit
  • 06 Birthday [ft. Diddy]
  • 07 Burn
  • 08 Clique [ft. Gunplay and Rockie Fresh]
  • 09 911 [ft. 2 Chainz]
  • 10 No Worries
  • 11 Thumbin’
  • 12 Presidential (Remix) [ft. Pharrell]
  • 13 Bands [ft. Whole Slab]
  • 14 Gone to the Moon
  • 15 Itchin’
  • 16 Ice Cold [ft. Omarion]
  • 17 Bible on the Dash
  • 18 Young ‘n’ Gettin It

Posted by Bigie on 3:50 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.