HII NDO VIDEO YA "LIVE PERFORMANCE" YA RICK ROSSY WAKATI WA FIESTA DAR
Posted by Bigie BONGO FLEVA, BONGO MOVIE, FIESTA, habari za kitaifa, Rick Ross 4:11 AMHII NDO MIXTAPE YA RICK ROSS YENYE NYIMBO 18....DOWNLOAD BURE
Posted by Bigie FIESTA, habari za kitaifa, Rick Ross 3:50 AMRozay ambaye jumamosi aliweza kukisanua jijini Dar Es Salaam kwenye Concert ya Fiesta iliyofanyika Leaders Club ameachia his official mixtape iitwayo “The Black Bar Mitzvah” huku akiwa amefanya collabo na wasanii kama Drake, Gunplay, Lil Reese, 2 Chainz, Pharrell, Diddy na wengine wengi toka pande za area code 1.
Downloud hapa chini:
Downloud hapa chini:
Hizi ndizo Track List za The Black Bar Mitzvah Mixtape:
- 01 Intro
- 02 Don’t Like
- 03 Mercy [ft. Rockie Fresh]
- 04 Us [ft. Drake and Lil Reese]
- 05 Rosenberg Skit
- 06 Birthday [ft. Diddy]
- 07 Burn
- 08 Clique [ft. Gunplay and Rockie Fresh]
- 09 911 [ft. 2 Chainz]
- 10 No Worries
- 11 Thumbin’
- 12 Presidential (Remix) [ft. Pharrell]
- 13 Bands [ft. Whole Slab]
- 14 Gone to the Moon
- 15 Itchin’
- 16 Ice Cold [ft. Omarion]
- 17 Bible on the Dash
- 18 Young ‘n’ Gettin It
AIBU:HUU NDO UCHAFU ULIOFANYWA NA MSANII DIAMOND KATIKA SHOW YA FIESTA DAR.....WENGI WADAI KUWA YEYE NI SHOGA
Posted by Bigie diamond, FIESTA, habari za ktaifa, picha za utupu 10:46 PMKwa wale walioondoka mapema kwenye show ya Fiesta usiku wa kuamkia Jumapili baada tu ya Rick Ross kumaliza performance yake, walikosa kujionea kituko kilichofanywa na Diamond Platnumz. Ama wengine wamekuja tu kuona picha zilizosambaa kwenye internet
Akiwa stage na madancer wake wakati show imepamba moto, Diamond aliamua kuvua na kuonesha boxer yake nyeupe kama ishara kuwa yeye na madansa wake ni ‘wasafi’ kiasi cha kutoogopa kuionesha hadharani.
Bahati mbaya watanzania wamemuelewa tofauti. Kitendo hicho kimewakera wengi.
Kwa mujibu wa maoni tuliyoyapata kupitia ukurasa wetu wa Facebook baada ya jana kuweka picha hiyo, wengi wameitafsiri picha hiyo kama ishara ya ‘ushoga’ na huku wengine wakienda mbali zaidi na kuibua tena mada ya ufreemason. Haya ni baadhi ya maoni.
“Wanaonyesha kuwa na mapepo hao maana walianza na kuvua magoti hadi mashati wakabakiza suruali , sasa wamebakiza boxer unadhani wakishatoa boxer watabakiza nini, huo ni ushirikina na muda si mrefu watahumbuka hao maana naona ule mwisho wao umeshafika; hizo ni akili ama matope…wana akili ama matahairaaaaa1.”
“Ndio maana wazee wetu hawaupend kuusikiliza huu muzk munaoita bongo flava. Uchafu kama huu mnafanya mbele za watu au umaarufu unatafutwa kwa kila njia,basi huyo tanzanite awe john elton wa bongo.”
“Lbd alielewa tofauti,alpockia MUONEKANO MPYA BURUDAN ILEILE ndani ya fiesta!!nd mana akafanya hcho k2ko lkn pia mayb woz search and luking fo huzband! nadhan co rdhk nyota uyu.teh teh teh shame upon hiz unimpressive kboxa.”
“Huu ni upuuzi wa wasanii wetu. Yaani huyu ndiye anayeitwa staa ambaye hana hata chembe ya adabu?? Na ninyi mnaangalia tu mnamshangilia???”
“OH! Lord hav marcy on this young man.This is devilish coz there s no any gud motivation to build up our society.Kwanini wasanii wa africa wanapenda kuiga utamaduni wa wa zungu? ambao haujengi jamii ye2 bali ina teketeza.kama we ni muimbaji kuja na stail ya utamaduni wako dnt promote someones cultur,mbona wao hawapromot utamaduni wenu,b yoself dnt try b somebody else,the moment u try to imitate frm someone u ll mess up coz u ll never b that person.U were created as a unique person so b u.”
“Nampenda diamond lakn kwa mambo haya mmh…. hapana kwakweli, sa kulikua na haja gani ya kupanda jukwaan na nguo ta2 c wangeziacha2 home wakaingia na hivo vchup au ndo vilikua vpya!!”
“What are they doing???/ is Diamond Freemasons..coz what they are doing is inhuman..i don’t know that what am thinking..if dancing is like that then we don’t have to…are u feeling happy watching something like this…damn Diamond.”
“Soko la entertainment tz linagonga mlango wa shetani…bado mtayaona ya laana zaidi ili wafanikiwe..ni huruma sana coz hao waliotangulia kuingiza soko lao la burudani mikononi mwa shetani wanajuta na 2nashuhudia wanavyoendeshwa na wengine wakituonya kwa bidii,ila wabongo ndo wanakimbilia huko..they’ll sell their soul for money and fame..watch out fo that!”
MWANA FA AMWAGIWA "MAMILIONI" YA SIFA BAADA YA KUFUNIKA KATIKA SHOW YA FIESTA
Posted by Bigie BONGO FLEVA, FIESTA, habari za kitaifa, MWANA FA 4:27 AMKwa kujiamini kabisa, tunasema haijawahi katika historia ya Fiesta na show za muziki wa Tanzania msanii kusifiwa kwa kazi nzuri aliyoifanya kwenye stage kama ilivyokuwa kwa Mwana FA!
Huenda sababu ikawa ni kukua kwa mitandao ya jamii kama Twitter ambapo mashabiki wana nafasi rahisi kutoa pongezi zao kwa msanii husika lakini seriously Mwana FA aka Binamu aliangusha performance kali pengine kuliko zote alizowahi kuzifanya kiasi cha jana kwenye Twitter kugeuka mjadala na hata kuifunika show ya Rick Ross ambayo nayo ilikuwa kali sana.
Mwana FA aliingia stejini kwa plan nzuri ya namna ya kuimba nyimbo zake. Tunahisi alifanya rehearsal na maandalizi ya maana.
Akiwa na T-shirt nyekundu yenye maandishi ‘CAN’T STOP THE HUSTLE & GRIND na miwani iliyokuwa na mishikio yenye rangi nyekundu pia, alionekana smart kinoma.
FA alikuwa ameandaa nyimbo zaidi ya sita zilizohit kinoma na kuchagua kuziimba verse moja moja huku kila moja ikishangiliwa na mashabiki. Kwa kujiamini, FA aliyekuwa mcheshi muda wote aliweza kuongea na mashabiki kuliko msanii yoyote aliyepanda siku hiyo isipokuwa Rozay tu.
‘Zipo nyingi, sasa ntafanyeje?’ alisikika FA mara nyingi baada ya kuwa anakatisha nyimbo zake ili kuimba nyingine.
Unanitega, Mabinti, Binamu, Yalaiti, Habari Ndio Hiyo, Unajinua Unasikia, Naongea na wewe na zingine ziliamsha shangwe za wengi kwenye viwanja vya Leaders.
Akiongea leo kwenye kipindi cha Power Breakfast kutoa shukrani kwa wananchi kwa jinsi walivyoiunga mkono Fiesta, mkurugenzi mtendaji wa Clouds Media Group, Joseph Kussaga, amesema wapo wamarekani waliomfuata na kumuuliza ‘who is that guy’ wakati FA alipokuwa kwenye stage.
Kwa namna yoyote ile, performance hiyo ya aina yake ya rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Hamis Mwinjuma, imefungua ukurasa mwingine mpya wa heshima aliyonayo ndani na nje ya nchi na huenda ikampa michongo mingi zaidi. Kiukweli FA, amelitumia vema jukwaa la Fiesta na huo ndio tunauita ‘ukomavu’.
Hizi ni baadhi ya tweets zilizokuwa zikisifia show ya Mwana FA.
UJIO WA RICK ROSSY WA MAREKANI WAMFANYA RICK ROSSY WA BONGO "ATAMBE"
Posted by Bigie FIESTA, habari za kitaifa, Rick Ross 12:22 AMBoss wa Maybach Music Group Rick Ross jana usiku ametua nchini kwaajili ya kupiga show ya Fiesta itakayofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, Dar es Salaam.
Teflon Don huyo aliwasili mida ya saa nne usiku akiwa chini ya ulinzi mkali na kupitia mlango wa VIP ambako ilikuwa vigumu kwa waandishi wa habari kupata picha zake.
Hata hivyo wakati anasuburiwa kwa hamu na mashabiki wake, alitokea mtu anayefanana na Rick Ross uwanjani hapo kiasi cha kumfanya kila mmoja amkimbilie kumpiga picha akidhani ndiye yeye.
Hata hivyo baada ya watu kugundua kuwa sio yeye bado jamaa huyo aligeuka kivutio kikubwa kwa watu wengi ambao walianza kuchukua picha zake na baadhi ya vituo vya televisheni kumhoji.
Msafara wa Rick Ross uliokuwa umezungukwa na magari ya kila aina na mabodyguard waliokuwa makini kumlinda bosi wao, uliekelea Serena Hotel ambako ndiko alikofikia.
Huko ndiko wapiga picha walifanikiwa kupata baadhi ya picha zake rapper huyo wa MMG aliyekuwa na t-shirt nyeupe na muda mwingi alikuwa busy na simu yake.
HABARI ZA FIESTA USIKU HUU NDANI YA LEADERZ CLUB
Posted by Bigie BONGO FLEVA, BONGO MOVIE, FIESTA, habari za kitaifa 4:43 PM![]() |
| Hapo kwa Benny Kinyaiya na Shadee.......? |
![]() |
| Hapa ndipo shughuli itapigwa.... |
![]() |
| Mchaina wa Clouds Tv akiwa na brozee wa Club 10. |
![]() |
| Engo.... |
![]() |
| Wakali kutoka himaya yetu wote wamemiminika hapa kwa ajili ya kufanya majaribio. |
![]() |
| Mmmmmh...! |
![]() |
| Ni Shilole, Inspector Haroon na Baby Madaha... Chege yuleeeeee!!! |
![]() |
| Ni Baby Madaha, Mchaina na Keysher. |
![]() |
![]() |
![]() |
| Ze stage usiku huu.. |
![]() |
| Bado tupo..... |
MWANAMZIKI WA KIMATAIFA RICK ROSSY AMETUA DAR USIKU HUU
Posted by Bigie FIESTA, habari za kitaifa, Rick Ross 1:13 PM
Meneja wa Bia ya Serengeti ambao ndio wadhamini wakuu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012,Allan Chonjo akisalimiana na Mwanamuziki wa Kimataifa kutoka nchini Marekani Rick Ross mara baada ya kuwasili usiku huu ndani ya uwanija wa ndege wa Kimataifa wa JK Nyerere,akiwa na baadhi ya wanamuziki wenzake pichani nyuma,kati ni Oparesheni Meneja wa Prime Time Promotions Ltd ambao ndio waratibu wa tamasha la Serengeti Fiesta 2012 linalotarajiwa kufanyika hapo kesho.
![]() |
![]() |
![]() |
MAANDALIZI YA FIESTA YAMEKAMILIKA NA RICK ROSS ATATUA MUDA WOWOTE JIONI HII
Posted by Bigie BONGO FLEVA, FIESTA, habari za kitaifa, Rick Ross 6:48 AMRick Ross anatarajia kutua leo jijini Dar es Salaam tayari kwa show yake ya kesho ya Fiesta kwenye uwanja wa Leaders Club.
Haijulikani rasmi ataingia muda gani lakini anategemea kuingia mida ya jioni.
Masaa Kadhaa yaliyopita kupitia Twitter aliandika kuwa yupo Amsterdam na kutweet kwa kuandika “Approved #Dicedpineapples final Video edit on flight to #Africa .Coming soon!!”
“KLM airlines need 1st 48 on they’re tv’s for me. #Africa.”
Katika maeneo ya kuuzia tiketi hizo zinazouzwa kwa shilingi elfu 20, wapenzi wa burudani wameonekana kwa wingi kununua tiketi zao tayari kwa kushuhusia show hiyo ya kihistoria.
Hizi ni miongoni mwa picha za matayarisho ya stage na maeneo ya kukalia watazamaji.
.
Featured Post
NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne ambayo ni Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...



















