MAIMATHA ATIMULIWA KWENYE KIBAO KATA YA AUNT EZEKIEL


MTANGAZAJI wa Kipindi cha Ben & Mai kinachorushwa hewani na TBC1,  Maimartha Jesse hivi karibuni alipata aibu ya mwaka baada ya kuzuiwa kuingia ndani ya Ukumbi wa Budha Blue, Mikocheni, Dar  kwenye sherehe ya ‘kibao kata’ cha nyota wa filamu Bongo, Aunt Ezekiel.

Habari zinadai kwamba Mai alikutwa na ishu hiyo kwa sababu hakuwa ametoa mchango uliokuwa umepangwa kwa ajili ya kuingia kwenye sherehe hiyo.

Mai akiwa amevalia sare ya sherehe hiyo, alikataliwa getini na mlinzi ambaye alimtaka aoneshe kadi au ujumbe wa simu ‘SMS’ aliotumiwa kwenye simu yake wa kumwalika ambapo vyote hakuwa navyo hivyo kutimuliwa.

Posted by Bigie on 12:38 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.