MPIGA PICHA ZA UCHI AMVAA SINTAH NA KUHOJI NI NANI MALAYA KATI YAKE NA YEYE....?
BONGO MOVIE, habari za kitaifa, picha za utupu 4:03 AM
BAADA ya picha za msanii za Rayuu kusambaa mitandaoni na kushika kasi kwenye macho ya watu na hadi kufikia hatua ya msanii Christine John ‘Sintah’, kudai kuwa msanii huyu anatafuta umaarufu kunuka, naye Rayuu ameamua kumjibu kwa kuhoji kuwa kati na yeye na Sintah nani malaya, na haoni sababu ya kumtukukana kwa sababu ya picha zake zinaonesha mgongo na si kitu kingine.
Kauli chafu aliyoitumia Sintah kwa Rayuu ni hii aliyosema kuwa msanii huyo anatafuta ‘umaarufu kunuka’, huku kauli nyingine alizotumia kuponda picha za msanii huyo zikiwa katika utata kiasi kwamba kuna ishu kubwa ambayo inataka kutokea kati ya wasanii hawa wawili.
Hata hivyo Mwandishi alizungumza na Rayuu, ili aeleze ni kitu gani kinachosababaisha hadi Sintah kutoa kauli kama hizo dhidi yake, ambapo alidai kuwa suali la picha hizo imekuwa gumzo kwani haitaji bifu na Sintah, kwa sababu hakuna siku hata moja ambayo amewahi kuzungumza nae katika maisha yake.
Rayuu alisema kuwa hajawahi kufanya kitu chochote kibaya kwa Sintah, lakini anashangaa kuona yeye ndiyo amekuja kasi kumtukutana kupitia blog yake.
Hata hivyo Rayuu alitumia ukurasa wake wa facebook ili kumtaka Sintah asiwe na kimbembele kwa kufuatilia vitu ambavyo havijui.

Aliongeza “Sintah dn talk on tings ambazo hujui zilipo anzia u were supposed to ask coz u dn evn knw wea da pic came from besides kwan mgongo ni uchi or tatoo ni uchi i may nat speak may b bcz i dn c da reason ya mm kupoteza pumzi yangu on smthng ambacho kimesababishwa na mtu mmoja and kwann usinge nifata personal if u really want to correct me!pics za uchi mnaziacha hiyo tatoo imekuwa gumzo! Having tattoos on ma body s nat a crime anyway!na pia mgongo c uchi!”, ni maneno aliyoyandika Rayuu kupitia kwenye ukurasa wake wa Facebook.
-----------------------------------------------------
MAONI YETU:
RAYUU ACHA UTOTO. HAYO MATITI YAKO UNAMUONESHA NANI? UNA CHUKIA NINI WAKATI WEWE NDO ULISAMBAZA HIZI PICHA?

-----------------------------------------------------------------------