"SIWAPENDI WANAUME WANAOSHOBOKA NA UMBO LANGU".....AGNESS MASOGANGE


Msanii waq Bongo movie  anayeuza nyago kwenye video za wasanii wa Bongo Fleva , Agness Gerald a.k.a Masogange amefunguka kuwa huwa hawafagilii wanaume au masharobaro wanaomshobokea  kwa sababu ya umbo lake linalodatisha wengi.

Akiongea na mwandishi wetu, mrembo huyo alifunguka kuwa mwanaume yeyote anayedai kudata na umbo lake ni mzushi na wala hana mapenzi ya dhati bali ni uroho wa ngono tu unaotokana na jinsi anavyoniona nilivyojaliwa.

“Mwanaume wa kweli anakupenda wewe mwenyewe jinsi ulivyo na si umbo lako ndiyo maana mimi siwafagilii kabisa wanaoshoboka kwa ajili ya umbo langu,” ali-talk Agness.

Posted by Bigie on 11:11 AM. Filed under , , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.