"NIMECHOKA KUTONGOZWA NA MADEMU".....BANZASTONE


MWANAMUZIKI wa Bendi ya Extra Bongo, Ramadhan Masanja ‘Banza Stone’ ametoa kali ya mwaka kwa kusema mademu wanamtongoza sana, jambo ambalo limekuwa kero kwake.

Banza anadai kuwa kwa muda mrefu sasa hajawahi kutongoza mwanamke kwa vile wao ndiyo humtongoza.

Aidha, alisema idadi ya wanawake wanaomfuata wakimtaka kimapenzi ni kubwa ambapo wengi wao huwakataa na baadhi yao huwakubali kwa kuangalia maslahi anayoyapata kutoka kwao. 


“Siku hizi dunia imebadilika sana, yaani nimeshasahau hata jinsi ya kutongoza,” alisema Banza.


Posted by Bigie on 3:33 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.