LADY JAYDEE ATEMA CHECHE KWA WABAYA WAKE...


Wanasema ‘No Research No Right to Speak’ hivyo ingawa tunaweza kuwa tunahisi dongo hili linawaendea akina nani, hatuwezi kutaja jina ambalo Lady Jaydee ameamua kuliweka kapuni.


Kupitia Twitter, Lady Jaydee ambaye jina lake halisi ni Judith Mbibo ameandika kitu ambacho kimezua maswali mengi ya wapi ujumbe huu ameuelekeza.
Jaydee ametweet:

Swali kubwa ni Je! Nani hawa wadau wa muziki wenye kauli ya kibabe kama hii?

Posted by Bigie on 4:31 PM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.