LAANA: VIDEO YA MWANAMKE AKITENDA UNYAMA NA UKATILI KWA MTOTO MCHANGA......
habari za kitaifa 6:33 PM
Mama ni kiungo muhimu sana kwenye jamii, hususani katika swala zima la malezi ya mtoto ......
VIDEO iliyopo hapo chini inamwonesha mwanamama akimwadhibu mtoto wake wa kumzaa kwa style ambayo haikubaliki kwa kweli....
HATA mtoto akikosea hastaili ADHABU kubwa kiasi hiki kwani ni kipindi cha mpito ambacho mtoto huyu anapitia na kitendo cha kumwadhibu kwa staili haivumuiliki hata kidgo...
EMBU iangalie HAPO CHINI na wewe halafu utoe mtazamo wako? je tunajifunza nini?
