MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA

 MCHAMBUZI: IMORI MARK
MATOKEO YA DARASA LA 7 NI KITUKO NA NI AIBU KWA TAIFA TOFAUTI NA ILIVYOWAKILIWASHWA KWENYE VYOMBO VYA HABARI NA WAZIRI HUSIKA. 
WAZIRI ALISEMA IDADI YA WALIOENDA SEKONDARI IMEONGEZEKA UKILINGANISHA NA MWAKA JANA LAKANA JE WAJUA UFAULU WAO???
------------------------------------------------------------------

WALIOPATA:
A - 3,087,
B - 40,683,
C - 222,103
CHUKUA A+B+C = 265,873


WALIOCHAGULIWA KWENDA KIDATO CHA KWANZA NI 560,706.

KWA HIYO WATAHINIWA 294,833 WAMECHAGULIWA KUTOKA DARAJA "D".......WAKATI DARAJA LA UFAULU KWENDA SEKONDARI NI KUANZIA "C" ....YAANI ALAMA 101/250.

ZAIDI YA 51% YA WALIOCHAGULIWA NI KUTOKA DARAJA "D" YAAN CHINI YA ALAMA 100/250.

JE, KTK HAWA 294,833 TUTAKOSA WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA VIZURI? 
--------------------------------------------------
 UPDATE:
Mroki Mroki aka Father Kidevu wa mrokim blog anasema:

"Taarifa  zinasema kuwa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi inawataka Wazazi, Walezi na wanafunzi kufika katika Ofisi za Elimu Mkoa au Wilaya zao ndipo majina ya Wanafunzi na Shule walizopangiwa yanapatikana."


Posted by Bigie on 3:01 AM. Filed under . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.