VITUKO VYA KRISMASI: NGUO ZA NDAN HADHARANI, SIGARA NA MADAWA YA KULEVYA KWA SANA

Mrembo  akiwa busy kuzikuna nyeti  zake bila kujali  watu....Kwake chupi  si kitu.Ionekane, au  isioneka  kwake ni sawa tu.....


Machangdoa nao hawakukosekana....Baadhi  yao walinaswa  wakipiga sigara na madawa  mengine ili kujipa  ganzi kwa  ajili  ya wateja  wao........

Kwa kifupi  ni kwamba, Mengi yametendeka wakati  wa sikukuu ya krismas.Kila mtu  aliamua  kutoka  kivyake  maadam  akidhi  haja zake......

 Neno  "machangu"ni la kawaida  siku hizi....Mwanamke  kuvuta  sigara  naona pia  wamelihalalisha.......

Jambo  la msingi ni kwamba TUKUMBUKE KUCHEZA SALAMA.....UKIMWI UPO NA UNAUA

 

Posted by Bigie on 11:26 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.