WATOTO WAJIACHIA KWA MICHEZO MBALIMBALI X-MAS DAR LIVE
habari za kitaifa 10:57 AM
Pichani juu ni taswira mbalimbali za watoto wakijiachia ndani ya Dar Live muda huu, kabla ya Ndonga za mwaka kuanza kati ya mabondia Mbwana Matumla na David Charanga kutoka Kenya, bondia Mada Maugo na Yiga Juma wa Uganda na Bahati Mwafyela atakayechapana na Chupaki Chipindi.
Baada ya ndondi hizo wakali Diamond Platinumz na Ommy Dimpoz watashusha shoo bab kubwa ndani ya ukumbi huo. Wapenzi wote wa burudani mnakaribishwa Dar Live leo.
Posted by Bigie
on 10:57 AM.
Filed under
habari za kitaifa
.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0