TAZAMA JINSI WATOTO WALIVYOVAA KAMA BEYONCE NA RIHANNA KWENYE REDCARPET YA TUZO ZA GRAMMY 2013
habari za kitaifa 11:08 PM
Beyonce.
Picha zote za mastaa unazoziona hapa zinaonyesha jinsi walivyovaa kwenye Redcarpet ya tuzo za Grammy 2013 ambapo kwa ubunifu wake, Tricia Messeroux aliamua kufanya project ya kuwapiga picha watoto ambao wanafanana na baadhi ya mastaa waliotokelezea kwenye Grammy na kuwavalisha kama wao….
