ASKARI ATIWA MBARONI BAADA YA KUYASHIKA MAKALIO YA MFANYAKAZI WA NDEGE YA FASTJET



Picha si ya Tukio Hilo.

Askari mmoja alievalia nguo za kiraia amewekwa ndani kituo cha polisi airport kwa kutuhumiwa kumshilka makalio mfanyakazi wa ndege wa fast jet.

Tukio hilo limetokea juzi saa nne...
Wakati askari huyo aliekuwa akienda mkoani akiwa bwii alipofika kwenye sehemu ya usalama aanze kuvua viatu na mengineyo gafla akaona binti amevaa kimini na huku nyuma kijungu kikipumua kwa kweli alishindwa kuhimili ndipo akamfuata na kumshika makalio ....
Baada  ya  tukio hilo, Askari wenzake  walimchukua   kumtuliza "sero" huku binti akienda kufungua kesi....

Source:Jamii Forums Via Udaku

Posted by Bigie on 7:09 AM. Filed under , . You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0
.

Featured Post

NEC ya ahirisha uandikishaji kwa BVR mikoa 4 nchini

Tume ya Taifa ya Uchaguzi imeahirisha zoezi la uandikishaji kwa BVR katika mikoa minne  ambayo ni  Arusha, Kilimanjaro, Manyara pamoja ...

2010 BlogNews Magazine. All Rights Reserved. - Provided by Free Blogger template.